NYUMBA INAUZWA
MAELEZO YA NYUMBA
NYUMBA 1. IPO MTAA WA BARABARANI – MUHALALA MANYONI, SINGIDA
2. IPO MITA 80 KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI YA SINGIDA KUELEKA DODOMA
3. IPO MITA 100 KUTOKA BANDARI YA NCHI KAVU – MANYONI
4. KIWANJA KINA UKUBWA WA HEKARI MOJA (MITA 70 X MITA 70)
5. INA VYUMBA VINNE VYA KULALA I). VYUMBA VITATU (3) NI MASTER
II). CHUMBA KIMOJA (1) CHA KAWAIDA
III). SEBURE 1
IV). DINNING 1
V). PUBLIC TOILET 1
VI). STORE 1
VII). JIKO 1
6. TAYARI INA UMEME NA MAJI
7. BADO HAIJAPIGWA PLASTA WALA HAINA CELLING BOARD
KWA MAWASILIANO PIGA NAMBA HIZI HAPO CHINI AU TUANDIKIE
info@gbfs.co.tz AU edward.rwegoshora@gbfs.co.tz
0766266257. 0788512274.
KARIBU SANA




